Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara kwa Unyenyekevu Anakukaribisha ewe Mkristo Mkatoliki na Yeyote Mwenye Mapenzi Mema kushiriki katika Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara.
Harambee itafanyika tarehe 22/2/2025 kwa Kuanza na Misa Saa 10:30 Jioni katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu Dar es Salaam na kufuatiwa na Halfa ya Harambee Serena Hotel, Jijini Dar es Salaam Kuanzia saa 12:00 Jioni.
Changia kupitia Nambari za Akaunti:
32110036051 (NMB)
0152884152500 (CRDB)
JINA: UJENZI KANISA KUU RULENGE NGARA
Au Lipa Namba ya M-Pesa: 58117373
Jina: SADAKA THE ROMAN CATHOLIC DIOCESE OF RULENGE NGARA
Nyote Mnakaribishwa.
.